Billy Member Oct 27, 2025 #1 Net inakuwa poa nikiwa na clients wawili, lakini ikifika watano inakatika kabisa. Shida inaweza kuwa nini?
Net inakuwa poa nikiwa na clients wawili, lakini ikifika watano inakatika kabisa. Shida inaweza kuwa nini?
Mave49 Member Oct 27, 2025 #2 Billy said: Net inakuwa poa nikiwa na clients wawili, lakini ikifika watano inakatika kabisa. Shida inaweza kuwa nini? Click to expand... Hiyo ni power supply ama router capacity. Ni model gani?
Billy said: Net inakuwa poa nikiwa na clients wawili, lakini ikifika watano inakatika kabisa. Shida inaweza kuwa nini? Click to expand... Hiyo ni power supply ama router capacity. Ni model gani?
Billy Member Oct 27, 2025 #3 Mave49 said: Hiyo ni power supply ama router capacity. Ni model gani? Click to expand... TP-Link 840N.
Mave49 said: Hiyo ni power supply ama router capacity. Ni model gani? Click to expand... TP-Link 840N.
Mave49 Member Oct 27, 2025 #4 Billy said: TP-Link 840N. Click to expand... Iyo router ni basic. Max users about 5–8 active. Inaanza kuhang after that. Upgrade to Mikrotik or high-capacity AP.
Billy said: TP-Link 840N. Click to expand... Iyo router ni basic. Max users about 5–8 active. Inaanza kuhang after that. Upgrade to Mikrotik or high-capacity AP.