Mave49 Member Oct 27, 2025 #2 Billy said: Naweza tumia PoE ya 12V kwa outdoor AP ya 24V? Click to expand... Hapana, haitafanya vizuri. Inahitaji 24V stable. Ukitoa 12V utapata signal weak au AP haitaboot kabisa.
Billy said: Naweza tumia PoE ya 12V kwa outdoor AP ya 24V? Click to expand... Hapana, haitafanya vizuri. Inahitaji 24V stable. Ukitoa 12V utapata signal weak au AP haitaboot kabisa.