Evans_Net Member Oct 27, 2025 #1 Router yangu ina-restart kila dakika tano. Nimeplug vizuri, hakuna overload. Shida inaweza kuwa nini?
Router yangu ina-restart kila dakika tano. Nimeplug vizuri, hakuna overload. Shida inaweza kuwa nini?
Cate_wa_Wifi Member Oct 27, 2025 #2 Evans_Net said: Router yangu ina-restart kila dakika tano. Nimeplug vizuri, hakuna overload. Shida inaweza kuwa nini? Click to expand... Inaweza kuwa power adapter. Jaribu adapter nyingine ya same voltage.
Evans_Net said: Router yangu ina-restart kila dakika tano. Nimeplug vizuri, hakuna overload. Shida inaweza kuwa nini? Click to expand... Inaweza kuwa power adapter. Jaribu adapter nyingine ya same voltage.