Umeweka gateway IP na DNS?Nimepewa static IP na ISP but haifanyi kazi kwa Mikrotik yangu. Nimeconfigure kwa WAN interface. Any idea?
Gateway nimeweka, DNS bado.Umeweka gateway IP na DNS?
Poa. Confirm pia NAT rule iko active.Thanks. Nimeweka 8.8.8.8 na 1.1.1.1. Inafanya sasa.