Billy Member Nov 1, 2025 #1 Mnafanyaje wakati stima inaenda? Mimi router yangu inazima kila mara blackout ikitokea.